Mkutano wa kumi na moja wa Baraza dogo la wafanyakazi wa ndaki ya Uchumi na stadiza Biashara

Huu nimkutano ulio fanyika tarehe 26.8.2021 saa nne asubuhi katika ukumbi wa mikutano wa ndaki ya uchumi na stadi za biashara ulioendeshwa na Rasi wa Ndaki ya Uchumi na stadi za Biashara. Ajenda mbali mbali zilijadiliwa zikiwa ni kwaajili ya maendeleo ya Ndaki pamoja na maboresho mbalimbali ya wafanyakazi

baraza1,

baraza2jpg

SHARE THIS INFORMATION WITH YOUR FRIEND